FT: CAFCC FINAL 22/23 First Leg | Yanga SC 1-2 USM Alger | Mkapa Stadium | Mei 28, 2023

Hii mvua daah sasa hivi tunasikiliza mpira kwenye redio.
 
Wakamaria leo mmemuua nani kati ya hawa vigogo wa soka??
 
Kipindi cha kwanza kikiisha bila bila sijui focus kwa Yanga kama itaendelea kuwepo
 
Mahious anapiga shuti linaenda nje ya lango na kuwa goal kick
 
Huu uwanja sio wa kupiga pasi mtambazo itatukost wananchi wa Mungu

KILA LA KHERI TIMU YA WATANZANIA WOTE [emoji1665][emoji172][emoji169]
 
18' ๐Œ๐š๐ก๐ข๐จ๐ฎ๐ฌ ๐ฐ๐š ๐”๐’๐Œ๐€ ๐š๐ง๐š๐ฉ๐ข๐ ๐š ๐ฌ๐ก๐ฎ๐ญ๐ข ๐ฅ๐ข๐ง๐š๐ž๐ง๐๐š ๐ง๐ฃ๐ž
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ