Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 2,170
- 3,067
Niliwaambia mapema kabla mechi kuanza kwamba yatawakuta kama ya Borusia DortmundKama Dortmunda jana
Naona kuna magoli mengi ya vichwa & magoli yanafungwa kwa kasi kubwa. Utopolo waanze na mabeki wepesi & wazuri kwa mipira ya hewani.
Za ya nyanga kufa kidemuPiga mbwa hao
Tayariii nini? Keshadaka mshale au mkuki?Tayariiiiiiiii
Daaa!!!Naenda kuchekea chooni 🤣🤣🤣🤣🤣
Hahahaaa! Naona kumekucha Mtani.