Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 10,644
- 32,375
Itakuwa wewe ni haji manaraNaenda kuchekea chooni 🤣🤣🤣🤣🤣
Si unaona hata walivyokaa hapo pichani? Aliyetangulia yupo mmoja na waliofuata wapo watatu. Umenielewa?
Fwaaalaaaa 🤣🤣🤣
Kwakua kombe mnalitaka nyinyi tu.Uzuri Yanga hana cha ugenini anakulaga tu.