yule jamaaa anasema uende wapi? Ukawakilishe kina nani? Utatoboa nini? 🤣🤣 ndo yanga sasaFainali imeisha hiyo. Yanga ni wa hapa hapa tu.
Nina wine inaitwa Manywele njoo unyweNamalizia nyama hapa mwenye tuisila(toothpick) anipe
Waje wanimeze...watulie kama tulivyotulia sisiBibie mijitu ina hasira Kama moto itakupasua na kukumeza huko uliko
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hebu tutawatag Guiness world record .YAANI YANGA KWA KUANDIKA REKODI, NDIO TIMU YA KWANZA KUDUMU NA FURAHA KWA MUDA MFUPI ZAIDI DUNIANI
😀😀😀 KIKO WAPI SASA 😀😀😀
BAHATI INAUKOMO
GOALLLLLLLLL
YANGA WANAPATA GOLI LA 2 HAPA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
UmeniwahiFainali imeisha hiyo. Yanga ni wa hapa hapa tu.
Kabisa Mtani! Boli limetembea.
HahahahahaHebu tutawatag Guiness world record .