FT: CAFCC FINAL 22/23 Second Leg | USM Alger 0-1 Yanga SC 03/06/2023

guvu moyaaaaaaaaa tumefika fainali na kufa kiumeeeeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Yanga tumefanya ujinga, baada ya kupata penalty tukapoozesha sana mpira tukawa tunacheza mipira ya nyuma.

Kwisha habari yetu.
Wangeshambulia hivyo wangekula china cha pili.
 
πŸ‘€πŸ‘€πŸ‘€πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜πŸ˜…πŸ‘€πŸ‘€πŸ‘€πŸ‘€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…