FT: CAFCC FINAL 22/23 Second Leg | USM Alger 0-1 Yanga SC 03/06/2023

FT: CAFCC FINAL 22/23 Second Leg | USM Alger 0-1 Yanga SC 03/06/2023

Hapa tumepigwa
20230604_000641.jpg
 
Yanga tumefanya ujinga, baada ya kupata penalty tukapoozesha sana mpira tukawa tunacheza mipira ya nyuma.

Kwisha habari yetu.
Wangeshambulia hivyo wangekula china cha pili.
 
👀👀👀😅😅😆😆😄😄😁😅👀👀👀👀
 
Back
Top Bottom