FT: CAFCC FINAL 22/23 Second Leg | USM Alger 0-1 Yanga SC 03/06/2023

Watani hongereni lakini si tulikubaliana mafanikio ni makombe tu na si vinginevyo, kupambana hata simba walipambana ila ndio hivyo tena, na hapo utasikia habari za uzalendo wakati mngeshinda usingesikia habari za uzalendo bali matusi kwa simba tu
 
Waarabu wanaharibu radha ya mpira na huo ushangiliaji wao wa kidwanzi aisee.

Moshi uwanjani mpaka mpira hauonekani aiseee
 
Watani hongereni lakini si tulikubaliana mafanikio ni makombe tu na si vinginevyo, kupambana hata simba walipambana ila ndio hivyo tena, na hapo utasikia habari za uzalendo wakati mngeshinda usingesikia habari za uzalendo bali matusi kwa simba tu
Kupambana kitu gani bwana watu wanakumbuka mshindi sio loser
 
Halafu zinaongezwa dakika sita , ujinga kabisa
Halafu refa hakuongeza chochote sababu muda ulisimama muda wa dakika za nyongeza

Hii mechi ya kipuuzi tu

Mechi ya kijinga sana hii yanga wameonewa sana

Labda hatuwapendi sana Yanga lakini Yanga wameonewa sana hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…