Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
[emoji23][emoji23][emoji23]Hawa waarabu kidogo waniue. Afadhali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]Hawa waarabu kidogo waniue. Afadhali.
N mambo ya goli la ugenini watoe hawa jamaahalafu CAF wabadili haya mambo fainali iwe mechi moja tu tena neutral ground
Hakuna mkuu, kuna kombe la kufa kiumeKuna kombe la kushinda kwao?
Kiume ndio nini watu wanataka ndoo we dnt remember losers bwanaNdio kufa kiume[emoji23][emoji23][emoji23]
Haha ndo kilichobakia Sasa kujifarijiUzuri hatua hii kwa mujibu wa CAF hujawahi kuifikia, wewe utakuwa mtu wa robo siku zote Mwakarobo.
Kupambana kitu gani bwana watu wanakumbuka mshindi sio loserWatani hongereni lakini si tulikubaliana mafanikio ni makombe tu na si vinginevyo, kupambana hata simba walipambana ila ndio hivyo tena, na hapo utasikia habari za uzalendo wakati mngeshinda usingesikia habari za uzalendo bali matusi kwa simba tu
Nachohofia mm ni kuwa kila mwaka timu yao inaimarika.huo upepo tu.wapo kwenye siku zao
sawa arifBablai mmeshatema ndoano arif
Halafu refa hakuongeza chochote sababu muda ulisimama muda wa dakika za nyongezaHalafu zinaongezwa dakika sita , ujinga kabisa
Nyie mmefika wapi na Mkapa yenu?Uto ndio muanze kuheshimu mechi za Mkapa... Pale mnapaswa mshindilie goli nyingi mno
Home and away ife na goal la ugenin life huu usenge yani unashinda alafu kombe anachukua mwingineNilikuwa najua wataongezwa muda kumbe ndo Kuna mambo yakipumbavu hivi..[emoji1787][emoji1787] waafrika ni wakuda wanwisho aisee
Sijifariji nimefika fainali na medali nimevaa wewe Mwakarobo ushawahi kufika?Haha ndo kilichobakia Sasa kujifariji
Sawa kuanzia Leo na nyie mtaitwa "Kufa Kiume FC"Tumekufa kiumee
HII NDO MAANA HALISI YA KUFA KIUME