FT: CAFCC FINAL 22/23 Second Leg | USM Alger 0-1 Yanga SC 03/06/2023

Mmepambana vya kutosha na boli limepigwa, mmejifunza na amjashindwa mechi, mlistahili kombe hili mlilete Tanzania lakini ndio mpira una matokeo ya kikatili sana, Wanaowabeza watemeeni mate waulizeni wawaonyeshe ata medali ya kuiba ya caf confederation cup, Karibuni Nyumbani mjipange kwa msimu ujao mtafanya makubwa zaidi ya hapa🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
 
Ili isipooze ilitakiwa mchukue kombe nyinyi sio? [emoji23]
Ukiongelea kishabiki lazima uje na mtazamo wa aina hiyo.
Ukiwa mfuatiliaji tulishaonya kuhusu mtindo huu wa mechi ya fainali kuwa haufai.
Ukiwa mwanamichezo unaweza ukaona vinginevyo, k8nyume chake ni hivyo uonavyo
 
Ila hii kucheza fainali home and Away siyo. Sasa hapo ingeshinda Yanga huko uarabuni wamejaa wapinzani na mimoshi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…