Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Mmepambana vya kutosha na boli limepigwa, mmejifunza na amjashindwa mechi, mlistahili kombe hili mlilete Tanzania lakini ndio mpira una matokeo ya kikatili sana, Wanaowabeza watemeeni mate waulizeni wawaonyeshe ata medali ya kuiba ya caf confederation cup, Karibuni Nyumbani mjipange kwa msimu ujao mtafanya makubwa zaidi ya hapa🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌