FT: CAFCC FINAL 22/23 Second Leg | USM Alger 0-1 Yanga SC 03/06/2023

Wasubiri tena miaka 40 wapangiwe timu mbovu.Bahati kama hii haijawahi kutokea duniani
 
LEO WANANGU WA USM ALGER NI MKESHA KAMA WOTE[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji91][emoji91][emoji854][emoji91][emoji854][emoji854][emoji854][emoji854]
 
Home and away ife na goal la ugenin life huu usenge yani unashinda alafu kombe anachukua mwingine
Kama ingekuwa hakuna Home and Away, kaburi lenu lingekuwa hapa hapa kwa Mkapa; wala msingeitia serikali hasara kwa kutoa ndege ili mkanywe kahawa. Nashindwa hata kufikiria adhabu ambayo angewapa Mzee Magu angekuwepo.
Karibuni nyumbani KKFC aka Kufa Kiume Football Club.
Ah nilisahau! Kufunga ugenini usirudi na Kombe na ANDAZI mnachagua nini?
 
SEMA NI MUDA WA TANZANIA NA SISI TUACHE UNAFIKI WA KUWAPOKEA WENZETU NA KUJIFANYA WAKARIMU,SASA HIVI NA SISI IWE KAMA WANAVYOTUFANYIA WAO TIT FOR TAT
 
Hii safi sana shida Africa kuna upumbavu mwingi sana
 
Yaani fainali mechi mbili,Fainali ina Mambo ya magoli ya ugenini,ligi za Afrika ni za kitapeli
League za Ulaya zitabaki kupendwa tu sio hizi takataka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…