Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Jamaa asepe tu sasa, tunguli za wanalunyasi zimefanya kazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aziz Kii bhana, afu analipwa pesa ndefuuu mweeeeh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa asepe tu sasa, tunguli za wanalunyasi zimefanya kazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aziz Kii bhana, afu analipwa pesa ndefuuu mweeeeh
Timu dhaifu ile basi tu Uto hawapo serious.Ukweli usemwe,wale waarab hawana balaa lolote,ni timu ya kawaida tu wangekua na balaa jana wangesingefungwa tena kwao na penati wamekosa kabisa,
Ni vile tu bahati haikua kwetu ila ile timu haina maajab yoyote!
kamfunga naniKwani simba hajawahi mfunga muarabu kwao?
Habarini za Leo..Binafs sina ninachowadai wachezaji wa yanga benchi la ufundi na viongozi wa yanga...hapa tulipoishia ni kwa uwezo wa Mungu Wachezaji na viongozi wa Yanga..
Tujipange kwa msimu ujao, naamini tutakuwa bora sana kuliko msimu huu,
Yanga ni timu Bora sana Africa, Yanga imeonyesha ukubwa wake jinsi ya kumpiga mwarabu kwao mifupa uliwashindwa timu nyingi na hawa ndugu zetu Makolo, najua dhihaka imekuwa kubwa toka kwa hawa ndugu zetu waliofeli, tunajua nguvu ya dhihaka zao zinatoka na msongo wa mawazo baada ya kuona tuna timu Bora sana.
Ndugu zangu pigeni mkono kufuni na kusema sisi ni
Wahenga walisema" kuvunjika kwa koleo siyo mwisho wa uhunzi, mtani amka, jikung'ute vumbi na karibu tena caf champions league 2023/2024, usiachie njiani tena na kudandia kombe la losers, ona sasa loser mwenzio alivyokufanya!!Dunia ya mpira Jana imetambua uwepo wa Tanzania...
Hongereni watani bahati haikua yenu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]BADO TUPO SANA HUMU
🙏Nilikuwa najua wataongezwa muda kumbe ndo Kuna mambo yakipumbavu hivi..🤣🤣 waafrika ni wakuda wanwisho aisee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamaa asepe tu sasa, tunguli za wanalunyasi zimefanya kazi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wahenga walisema" kuvunjika kwa koleo siyo mwisho wa uhunzi, mtani amka, jikung'ute vumbi na karibu tena caf champions league 2023/2024, usiachie njiani tena na kudandia kombe la losers, ona sasa loser mwenzio alivyokufanya!!
Tunatabia ya kudharau vya kwetu..na kutukuza vya kigeniNina hakika Fei angekuwa na motisha ya kuthaminiwa kama Aziz K huenda na yeye angekuwa na mchango mkubwa sana.
Kweli.Tunatabia ya kudharau vya kwetu..na kutukuza vya kigeni
Mmekandwaaaaaaaa wazee wa kufa kiumeeeeeee na ndege za kukodiwaTimu lenu limewashinda kabisa kuwapa furaha [emoji848][emoji848]