FT: CAFCC FINAL 22/23 Second Leg | USM Alger 0-1 Yanga SC 03/06/2023

FT: CAFCC FINAL 22/23 Second Leg | USM Alger 0-1 Yanga SC 03/06/2023

Aiseee poleni sana......
Ndo siku nyingine mjifunze vya nyumbani ni vizurii...vinaokoa kwny majanga kama haya..
 
Hakuna kitu kinaumiza kama hiki....poleni sana wana yanga narudia tena....
Ndo hamtakaa tena kupata nafasi mserereko tena kama hii na mkashindwa kuitumia....
 
Ukweli usemwe,wale waarab hawana balaa lolote,ni timu ya kawaida tu wangekua na balaa jana wangesingefungwa tena kwao na penati wamekosa kabisa,
Ni vile tu bahati haikua kwetu ila ile timu haina maajab yoyote!
Timu dhaifu ile basi tu Uto hawapo serious.
 
Nina hakika Fei angekuwa na motisha ya kuthaminiwa kama Aziz K huenda na yeye angekuwa na mchango mkubwa sana.
 
Akiwa na Taifa stars Fei toto aliwabandua Algeria game ikaisha 1-1 leo yupo matopeni Aziz Ki ndo anacheza namba yake
Fei,Aziz ki na Uto wote ni VYURA
 
Habarini za Leo..Binafs sina ninachowadai wachezaji wa yanga benchi la ufundi na viongozi wa yanga...hapa tulipoishia ni kwa uwezo wa Mungu Wachezaji na viongozi wa Yanga..

Tujipange kwa msimu ujao, naamini tutakuwa bora sana kuliko msimu huu,

Yanga ni timu Bora sana Africa, Yanga imeonyesha ukubwa wake jinsi ya kumpiga mwarabu kwao mifupa uliwashindwa timu nyingi na hawa ndugu zetu Makolo, najua dhihaka imekuwa kubwa toka kwa hawa ndugu zetu waliofeli, tunajua nguvu ya dhihaka zao zinatoka na msongo wa mawazo baada ya kuona tuna timu Bora sana.

Ndugu zangu pigeni mkono kufuni na kusema sisi ni

Dunia ya mpira Jana imetambua uwepo wa Tanzania...

Hongereni watani bahati haikua yenu
Wahenga walisema" kuvunjika kwa koleo siyo mwisho wa uhunzi, mtani amka, jikung'ute vumbi na karibu tena caf champions league 2023/2024, usiachie njiani tena na kudandia kombe la losers, ona sasa loser mwenzio alivyokufanya!!
 
1900fc73-440f-4c99-9f3c-d7b53724b4ad.jpg
 
Kutoka humu kwenye huu uzi siyo leo [emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
 
Back
Top Bottom