FT: CAFCC FINAL 22/23 Second Leg | USM Alger 0-1 Yanga SC 03/06/2023

Aiseee poleni sana......
Ndo siku nyingine mjifunze vya nyumbani ni vizurii...vinaokoa kwny majanga kama haya..
 
Hakuna kitu kinaumiza kama hiki....poleni sana wana yanga narudia tena....
Ndo hamtakaa tena kupata nafasi mserereko tena kama hii na mkashindwa kuitumia....
 
Ukweli usemwe,wale waarab hawana balaa lolote,ni timu ya kawaida tu wangekua na balaa jana wangesingefungwa tena kwao na penati wamekosa kabisa,
Ni vile tu bahati haikua kwetu ila ile timu haina maajab yoyote!
Timu dhaifu ile basi tu Uto hawapo serious.
 
Nina hakika Fei angekuwa na motisha ya kuthaminiwa kama Aziz K huenda na yeye angekuwa na mchango mkubwa sana.
 
Akiwa na Taifa stars Fei toto aliwabandua Algeria game ikaisha 1-1 leo yupo matopeni Aziz Ki ndo anacheza namba yake
Fei,Aziz ki na Uto wote ni VYURA
 

Dunia ya mpira Jana imetambua uwepo wa Tanzania...

Hongereni watani bahati haikua yenu
Wahenga walisema" kuvunjika kwa koleo siyo mwisho wa uhunzi, mtani amka, jikung'ute vumbi na karibu tena caf champions league 2023/2024, usiachie njiani tena na kudandia kombe la losers, ona sasa loser mwenzio alivyokufanya!!
 
Wahenga walisema" kuvunjika kwa koleo siyo mwisho wa uhunzi, mtani amka, jikung'ute vumbi na karibu tena caf champions league 2023/2024, usiachie njiani tena na kudandia kombe la losers, ona sasa loser mwenzio alivyokufanya!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kutoka humu kwenye huu uzi siyo leo [emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…