NAJYUZ
JF-Expert Member
- May 10, 2021
- 1,981
- 3,475
Tupo mkuu tuna imani na Young Afrikaaaaaaaa..Mashabiki wa Yanga huu ndio muda wenyewe wa kuonekana hapa maana bado game halijaanza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupo mkuu tuna imani na Young Afrikaaaaaaaa..Mashabiki wa Yanga huu ndio muda wenyewe wa kuonekana hapa maana bado game halijaanza.
Bado wapo kwenye maombi ya kuombea mvua isinyeshe, nadhani watakuja baada ya mvua kukata 😂Mashabiki wa Yanga huu ndio muda wenyewe wa kuonekana hapa maana bado game halijaanza.
Tupo mwanzo mwisho na ubingwa tunauleta home. Achana na hao mashabiki wa fungulia mbwa.Mashabiki wa Yanga huu ndio muda wenyewe wa kuonekana hapa maana bado game halijaanza.
Ndiyo yanga atashinda 1-0 lakini kombe anachukua usama.Yanga anashinda
Sawakutokuwepo kwa morrison na aziz ki nifuraha kwangu kama mshabiki wa simba hao ndio wachezaji wenye hatari zaidi pale yanga
Morisson vipiiii tena ila nabi kiboko kelele zote kagoma kumuanzisha morrisonLet's go teamView attachment 2645111
Kama una ugomvi na Aziz Ki mtafe muongee yaishe maana chuki itakuuaKwasababu Azizi Ki leo hajaanza mnaweza mkasumbua sumbua mkapigwa 3 kwa shida
Hajazingua... lengo azuie na wakati huohuo ashambulie... na akiamini endapo atapata matokeo mapema... basi baadae bangala atamaliza vyemaKosi la ovyo Nabi kazingua sana
Mwalim kazingua sana hakuna haja ya kuzuia leo kwa sababu hakuna cha kupotezaHajazingua... lengo azuie na wakati huohuo ashambulie... na akiamini endapo atapata matokeo mapema... basi baadae bangala atamaliza vyema
Tumia sportybetyMwenye link ya kuangalia game
Ngoja tuone 45 za kwanza kisha ndio tuje tuongeeMwalim kazingua sana hakuna haja ya kuzuia leo kwa sababu hakuna cha kupoteza
Uache na kimemo mfukoni cha hospital utayoenda kutibiwaNimewahi siti ya mbele kabisa hapa Jangwani katika skrini. Tukipigwa goli la pili walahi nachomoa waya wa hii plojekta.
Ingekua uzi unacheza Simba angekua bingwa wa duniaAjabu watu wa Simba ndiyo wanachangamsha huu Uzi...
Wanayanga wamejificha... Wakifunga hata goli moja tu.. wanajitokeza[emoji3]