FT: CAFCC FINAL 22/23 Second Leg | USM Alger 0-1 Yanga SC 03/06/2023

FT: CAFCC FINAL 22/23 Second Leg | USM Alger 0-1 Yanga SC 03/06/2023

Hajazingua... lengo azuie na wakati huohuo ashambulie... na akiamini endapo atapata matokeo mapema... basi baadae bangala atamaliza vyema
Mwalim kazingua sana hakuna haja ya kuzuia leo kwa sababu hakuna cha kupoteza
 
Wananchi inaona leo tumelazimika kutelekeza jezi nyeusi. Hizi ni dalili mbaya kwetu
 
Ile channel ya Youtube iliyorusha mechi iliyopita, leo haifanyi hivyo?

Kam ipo naombeni msogeze link hapa.
 
Back
Top Bottom