FT: CAFCC FINAL 22/23 Second Leg | USM Alger 0-1 Yanga SC 03/06/2023

FT: CAFCC FINAL 22/23 Second Leg | USM Alger 0-1 Yanga SC 03/06/2023

Wanangu tusipokuwa makini huenda hawa uto wakachukua hili kombe .mana naona hawa waarabu Koko washatepeta hawana mipango ya kupata goli kabisa
Hawana mipango au hawakurupuki?

Tulia kijana wanaakili sana hao watu
 
Back
Top Bottom