Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
,💪💪💪💪💛💛💛💚💚Nawaona nawaona
Ulikuwepo tarehe 28?Haijawahi tokea ukasapoti timu ikashinda😂
Na ikifika dk ya 60/70 hali ikiwa hivi inawezekana presha ikazidi.USMA WAMEPANIC NA WANA PRESSURE SANA
YANGA WAMEJUA JINSI YA KUCHEZA NAO KWA PRESHA
Wameamua kupiga makofi😁😁USMA WAMEPANIC NA WANA PRESSURE SANA
Kila timu unayosapoti lazima iishie kupata gunduUlikuwepo tarehe 28?
Hawana mipango au hawakurupuki?Wanangu tusipokuwa makini huenda hawa uto wakachukua hili kombe .mana naona hawa waarabu Koko washatepeta hawana mipango ya kupata goli kabisa
Tukishinda ntakanyanyasa sana haka katoto [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57] mchawiiii huyuuu USM ALGER
nafikiri mchawi wa yanga kachoka mikono kapitiwa kidogo kukoroga jungukuna kunguru wawili wamekatiza nina mashaka