Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pepo trokkkaaaaaaah!!👽👽Yanga hii mechi anapoteza...
Vlassmate leo kazi unayo, utalala na viatu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa sawa mkuu kobo [emoji23][emoji1787][emoji106]
Yanga hawatoboi. Niko hapa kusubiri povu.Leo ndiyo nngwe ya pili ya Fainali ya kombe la Shirikisho Afrika ikiikutanisha timu ya USM Alger ya nchini Algeria na Yanga SC ya Tanzania ambapo Yanga itakuwa ugenini. Katika mchezo wa kwanza Yanga ilipoteza 2-1 katika uwanja wa Benjamini Mkapa.
Timu hizi katika historia zimeingia fainali kwa mara ya kwanza, Je kutokana na ulivyouona mchezo wa kwanza unadhani mchezo huu utakuwaje?
Nani unampa nafasi ya kuibuka bingwa?
Usiku wa kuamkia mechi leo nchini Algeria Mashabiki wa USM Alger walienda nje ya Hotel waliyofikia Yanga Algeria The Legacy Luxury na kuanza kupiga mafataki, unaambiwa hii ni tabia yako kwa lengo la kuitoa mchezoni timu ya ugenini.Yanga saa 22:00 kwa saa za Tanzania leo watacheza mchezo wa marudiano wa fainali ya Kombe la Shirikishi Afrika dhidi ya USM Alger baada ya ule wa kwanza Dar es Salaam USM Alger kuibuka kidedea 2-1.
View attachment 2645132---
Hali ya Uwanja saa 2 kabla ya mechi
Vikosi vinavyoanza leo
Kikosi cha Yanga
Kikosi cha USM Alger
Bado dakika chache mtanange huu uanze, kaa hapa nami kwa upates mbalimbali.
Vikosi vimeshaingia Dimbani wa ajili ya kupasha misuli joto
---
Vikosi vimeshaingia dimbani tayari kukiwasha.
Atmosphere ya Uwanja ni hatari sana. Hawa waarabu wamepiga fataki za kufa mtu mpaka uwanja unafuka Moshi
- Mpira umeanza kwa kasi huku Yanga wakilifikia lango la Algers mapema bila kupata bao
- Yanga wanapata penati dakika ya 5 Djuma amepewa aipige
- Gooooool Yanga wanatangulia hapa...
- Timu zinashambuliana kwa zamu sasa ni dakika ya 15
- Dk 20 bado timu zinashambuliana huku umakini ukiongezeka. Yanga bado anaongoza bado Moja la Djuma Shabaan
- Dakika 35 Yanga wanasukuma mashambulizi kuelekea lango la USM Alger
- Dakika ya 39 ni Water Break hapa
- Dakika ya 45 zimekamilika zimeongezwa dakika 5 hapa
- USM Alger wanapa faulo katika eneo zuri. Diara anaokoa kwenye chaki.
- Mapumziko Yanga wanaenda wakiwa mbele ugenini
Ni kweli Lomalisa ni mzuri kwenye kushambulia. Ila kwa bahati mbaya tayari ana kadi ya njano, na mashambulizi mengi yanaelekezwa kwake.Juzi kocha alilaumiwa sana kumuanzisha Lomalisa na mkadai kuwa game hii aamzishwe kwakua ni mzuri kwa kushambulia.
Labda Farid , kibwana tutafungwaKisha onywa mara nyingi na refa na hapo ana kadi moja ya njano, bora aingie Kibwana.
Hata mimi nawatakia kipigo kikali cha kuanzia goli 5
Akiachwa mpaka apate Red Nabii nitamlaumu sana .Ni kweli Lomalisa ni mzuri kwenye kushambulia. Ila kwa bahati mbaya tayari ana kadi ya njano, na mashambulizi mengi yanaelekezwa kwake.
Kwa hiyo ikitokea akapewa kadi ya pili ya njano, maana yake timu itaelemewa sana.
Ukitoa sure boy utapigwa kama ngoma, yeye ndie kawapunguza speed waarabu.Kipindi cha pili
Toa Lomalisa weka Farid
Toa Kisinda weka Morison
Toa sure boy weka Aziz Ki tuanze ile utatoa hutoi.
Nashangaa watu wanazunguzia yanga kushinda....... Dakika tisini yanga hata akipata on target Moja tutamshukuru sana mungu.
Bado kidogo. Wanapasha.Kipindi cha pili Kimeanza... Game On!
USMA 0 YANGA 1
Aggregate score 2-2