FT: CAFCC FINAL 22/23 Second Leg | USM Alger 0-1 Yanga SC 03/06/2023

FT: CAFCC FINAL 22/23 Second Leg | USM Alger 0-1 Yanga SC 03/06/2023

Sina Cha kusema zaidi ya Asante Mungu maana mtaani tusingeishi hadi huu mwaka unaisha.
FuA18NKXwAUSUzD.jpg


Sent from my Pixel 3 using JamiiForums mobile app
 
Ndiyo swali gani hili!! Kwani kwenye hii mechi unaona tumeshinda, au tumepoteza!!
Kushinda na kupoteza ni sehemu ya mchezo, hata Real Madrid walipigwa 4 kwa 0 na Man City

Mtu Mshamba tu ndio atakayeona ajabu Yanga kutinga fainali na kupoteza
 
Back
Top Bottom