FT: CAFCC FINAL 22/23 Second Leg | USM Alger 0-1 Yanga SC 03/06/2023

FT: CAFCC FINAL 22/23 Second Leg | USM Alger 0-1 Yanga SC 03/06/2023

Wanajifariji [emoji471][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
KUFA KIUME [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
 
uunganishe namungo na naenda fc uite chalinze fc... kisha useme timu ni ileile...?? Huoni kama kimevaliwa kitu kingine kabisa..??
Unatumia nguvu nyingi. Kama Simba ishawahi kufika fainali ni imefika. Majina yanabadilika tu.
 
uunganishe namungo na naenda fc uite chalinze fc... kisha useme timu ni ileile...?? Huoni kama kimevaliwa kitu kingine kabisa..??
Sasa umechukua hilo kombee?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unabwataa na kwapa hujanyanyua Lol
 
Unakuta Kuna kijanaume nacho kinasimama kinashangilia USMA kuchukua kombe huku kimelowa kimoko 😅😅, afu ukikiuliza haya USM amechukua vipi wewe una nini kwenye kabatini ni tobo tu.
Ichomoe hiyo, ikikusumbua sana
Imelooaaa
 
Am finee baba tamuuu,[emoji8][emoji8][emoji8]
Mwenzio leo nna furaha mnoo, man city kachukua ubingwa FA, na USMA kachukua CAFCC
Wewe shida yako huna mtu wa kukupelekea moto...🔥🔥🔥
Em come PM..
 
Habarini za Leo..Binafs sina ninachowadai wachezaji wa yanga benchi la ufundi na viongozi wa yanga...hapa tulipoishia ni kwa uwezo wa Mungu Wachezaji na viongozi wa Yanga..

Tujipange kwa msimu ujao, naamini tutakuwa bora sana kuliko msimu huu,

Yanga ni timu Bora sana Africa, Yanga imeonyesha ukubwa wake jinsi ya kumpiga mwarabu kwao mifupa uliwashindwa timu nyingi na hawa ndugu zetu Makolo, najua dhihaka imekuwa kubwa toka kwa hawa ndugu zetu waliofeli, tunajua nguvu ya dhihaka zao zinatoka na msongo wa mawazo baada ya kuona tuna timu Bora sana.

Ndugu zangu pigeni mkono kufuni na kusema sisi ni washindi.
 
Leo ndiyo nngwe ya pili ya Fainali ya kombe la Shirikisho Afrika ikiikutanisha timu ya USM Alger ya nchini Algeria na Yanga SC ya Tanzania ambapo Yanga itakuwa ugenini. Katika mchezo wa kwanza Yanga ilipoteza 2-1 katika uwanja wa Benjamini Mkapa.

Timu hizi katika historia zimeingia fainali kwa mara ya kwanza, Je kutokana na ulivyouona mchezo wa kwanza unadhani mchezo huu utakuwaje?

Nani unampa nafasi ya kuibuka bingwa?

Usiku wa kuamkia mechi leo nchini Algeria Mashabiki wa USM Alger walienda nje ya Hotel waliyofikia Yanga Algeria The Legacy Luxury na kuanza kupiga mafataki, unaambiwa hii ni tabia yako kwa lengo la kuitoa mchezoni timu ya ugenini.Yanga saa 22:00 kwa saa za Tanzania leo watacheza mchezo wa marudiano wa fainali ya Kombe la Shirikishi Afrika dhidi ya USM Alger baada ya ule wa kwanza Dar es Salaam USM Alger kuibuka kidedea 2-1.

View attachment 2645132
Hali ya Uwanja saa 2 kabla ya mechi
---

Vikosi vinavyoanza leo

Kikosi cha Yanga
Kikosi cha USM Alger

Bado dakika chache mtanange huu uanze, kaa hapa nami kwa upates mbalimbali.

Vikosi vimeshaingia Dimbani wa ajili ya kupasha misuli joto
---
Vikosi vimeshaingia dimbani tayari kukiwasha.

Atmosphere ya Uwanja ni hatari sana. Hawa waarabu wamepiga fataki za kufa mtu mpaka uwanja unafuka Moshi

- Mpira umeanza kwa kasi huku Yanga wakilifikia lango la Algers mapema bila kupata bao

- Yanga wanapata penati dakika ya 5 Djuma amepewa aipige

- Gooooool Yanga wanatangulia hapa...

- Timu zinashambuliana kwa zamu sasa ni dakika ya 15

- Dk 20 bado timu zinashambuliana huku umakini ukiongezeka. Yanga bado anaongoza bado Moja la Djuma Shabaan

- Dakika 35 Yanga wanasukuma mashambulizi kuelekea lango la USM Alger

- Dakika ya 39 ni Water Break hapa

- Dakika ya 45 zimekamilika zimeongezwa dakika 5 hapa

- USM Alger wanapa faulo katika eneo zuri. Diara anaokoa kwenye chaki.

- Mapumziko Yanga wanaenda wakiwa mbele ugenini

- Kipindi cha pili kimeanza

- USM Alger Wanafanya mabadiliko ya wachezaji wawili

- Dakika ya 54 bado timu zinashambuliana

- Dakika ya 56 USM Alger wanapata mkwaju wa penati..

- Diaraaaaa anadaka hapa

- Dakika ya 61 anatoka Kisinda anaingia Morrison

- Dk 65 yanga wanapeleka mashambulizi ya kasi

- Dk 71 anaingia Aziz Ki anatoka Musonda

- Dk 80 bado mechi Ina kasi kubwa timu zote zinashambuliana

- Mzize na Farid Mussa wameingia Lomalisa ametoka

- Dk 90 zimeongezwa 6

FT Yanga ameshinda lakini hajafanikiwa kutwaa ubingwa
Hongera Utopolo mmepambana
 
Habarini za Leo..Binafs sina ninachowadai wachezaji wa yanga benchi la ufundi na viongozi wa yanga...hapa tulipoishia ni kwa uwezo wa Mungu Wachezaji na viongozi wa Yanga..

Tujipange kwa msimu ujao, naamini tutakuwa bora sana kuliko msimu huu,

Yanga ni timu Bora sana Africa, Yanga imeonyesha ukubwa wake jinsi ya kumpiga mwarabu kwao mifupa uliwashindwa timu nyingi na hawa ndugu zetu Makolo, najua dhihaka imekuwa kubwa toka kwa hawa ndugu zetu waliofeli, tunajua nguvu ya dhihaka zao zinatoka na msongo wa mawazo baada ya kuona tuna timu Bora sana.

Ndugu zangu pigeni mkono kufuni na kusema sisi ni washindi.
Hongera Kwa kuchukua kombe la kuonyesha ukubwa
 
Unadhani utapata tena hii bahati ya akina Marumo. Thubutu
 
Back
Top Bottom