Singida sasa nao wamelala.Moja kapewa kocha mkuu
Nakumbuka alipewa namba 7 mgongoni hafu namuona bado.Refa asimamishe game awahesabu upya maana ni kama hawapo pungufu
Singida hawawezi shinda hapa. Abadan.Hivi yule aliekula red katoka kweli mbona kama bado wako wengi.
Na kocha wa sasa anamuanzia benchi. Kazi anayo.Bruno pia ni Overrated