FT: CAFCC: Future FC 4-1 Singida Big Stars FC, Agg: 4-2. Singida ayaaga mashindano

FT: CAFCC: Future FC 4-1 Singida Big Stars FC, Agg: 4-2. Singida ayaaga mashindano

Singida ana kandwa na timu pungufu
 
Simba na yanga waachiwe kuwakilisha nchi hawa wengine hapana
 
Hivi yule aliekula red katoka kweli mbona kama bado wako wengi.
 
Unajiuliza kaseke alikuwa wa nini humu
 
Bruno pia ni Overrated
 
Back
Top Bottom