jitwangabalogi
JF-Expert Member
- Aug 8, 2018
- 476
- 636
😃😀😀Uto leo watapita humu kimya kimya
Naunga mkono hojaTaifa litarudishiwa heshima yake leo
Ni mimi ambaye sijaelewa au? Unataka kuizuia timu iliyofuzu robo fainali kufuzu robo fainali?Tuwe makini na mkakati wa Waarabu,Tulipeleka timu mbili kwao,Safari hii timu zao mbili zimekuja kwetu.
Eti kupitia Dar es Salaam, wote wanataka waende robo fainali.!!!
Supu imeyeyukaView attachment 3206390