FT: CAFCC: Simba SC 2-0 CS Constantine | Estadio Benjamin Mkapa | 19.01.2025

FT: CAFCC: Simba SC 2-0 CS Constantine | Estadio Benjamin Mkapa | 19.01.2025

Hakuna timu nzuri kama Yanga. Ukiwa na kichwa timamu lazima uishabikie Yanga. Sijui nikuelezeaje hii Yanga uwiii. Hilo litimu lenu madunduka silipendi sijui nalionaje. Hata wachezaji hawaeleweki, njoo kwa masbabiki sasa 🤭🤭🤭🤭🤭
Wanasimba hatuhusiki Yanga kupangwa kwenye lile kundi lenu . Unatuchukia bure tu.

Inasemekana Yanga baada ya kupangwa kwenye lile kundi lenu , mitaa yote ya jangwani mlishangilia. Mlilitaka lile kundi. Sisi hatuhusiki.
 
Simba ni chuo cha kandanda Afrika. Alisema Benard Morrison, baada ya kuja Simba Sc na kupata diploma yake ya kandanda akarudi utopoloni kwenda kuwapa mbinu za kuepuka kudisco lakini somo halikueleweka.

Tukampeleka Mkude, Okrah na Chama baada ya wote kupata degree za gentleman lakini somo halikueleweka. Kuna kijana Israel Mwenda japo alikimbia pepa ya mwisho naye tumempeleka akawape hata mbinu za kufuzu robo fainali.

Leo tumetoa darasa la bure. Chukueni notisi basi walau mrudishe furaha viunga vya jangwani. Mkikaza shingo mtazikwa ni mwiko nyuma.
 
Sisi ndio WAKALI WA HIZI KAZI ni furaha Sana kwa simbaa

Pasi zinapigwa zaidi ya 200 yaan MCA tungecheza nao sisi tunge bikiri....ni furaha kubwa kwetu Wana simbaa ☺️☺️😊😊😊

Cc. min -me
 
Back
Top Bottom