Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
- Thread starter
- #181
Kabisa yani hawa majamaa wana Ego sanaMi huwa sielewi hii CAF ipo Kwa ajili ya kuadhibu weusi kusini mwa Jangwa la Sahara au ni Afrika nzima? Tangu Mechi imeanza Hadi inaisha vitochi vya rangi zote mara nyekundu, mara kijani?
Kwenye faini ya 80M waliyopipishwa Yanga walidai moja ya kosa ni kutumia vitochi lakini mechi zote za wenzetu huko vitochi tinaviona kila siku.
Sasa nashindwa kuelewa ni kwamba hizo Club zinalipishwa faini ila ni sisi tu hatujui au ndio hivyo mkubwa hapigwi anaelekezwa?