Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
- Thread starter
- #161
Mimi nawajua mashabiki wenye kuleta mabishano kwa upinzani kupitia utani.Mimi nafanya utani, ila deep down nilitamani sana hivi vilabu vyetu vifike final na kybeba ndoo.
Kwa Simba kushiriki Super Cup no hard feelings kwa kweli. Kwanza tunatakiwa kuwa on top then ushindani wetu uendelee.
They never held grudges on their souls and that's how utani is.
Na kuna lile kundi la kuchukua utani kama kitu personal unakuta mtu anakufurumushia mitusi mpaka unashangaa imekuwaje