changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Nakubari MANENO yako
Kuna wakati lazima ukubari ukweri
Tukikutana na USM tuna kibarua kigumu
7bu katika mashindano yote tangu tulipoanza sijaona timu ambayo yanga inekutana nayo kwanza ambayo inachezaa kitimu morali ya juu na ushirikiano wa kuelewana vizuri USM wanacheza vizuri sana wanelewana hii SILAHA kubwa sana ndio mana wanashambulia kwa speed na hawapotezi mipila kizembe
MAYELE kwenye mechi mbili za nusu ndio kaonesh anagalau kidogo kucheza kitimu
Kama tukikutana na hawa USM
Halafu alete habari zake za kichoyo kutaka kushinda yeye
Atapokonywa mpila kama mtoto kama wanavyofanyiwa wasahambuliajo wa ASEC hapa
Yaan mabeki wa USM wanapiga chenga mpk golini kwao dah ! hawa jamaa wanawachukuliaje ASEC yaan
Sasa hao wanaocheza nusu fainali leo,
Asec kafungwa goli tatu kwa sifuri na Rivers ( katolewa na Yanga)
Na Huyo USM kafungwa goli mbili kwa sifuri na Marumo ( katolewa na Yanga)
Msione timu zilizofungwa na Yanga zimefika hapo ki Mungu tu, kama mnawaona hao wanacheza saivi ndio timu bora zaidi katika michuano hii basi tambua hizo timu zote zimefungwa na timu ambazo zimefungashiwa virago na Yanga