FT: CAFCC: USM ALGER 2 VS 0 ASEC MIMOSA | 17/05/2023

FT: CAFCC: USM ALGER 2 VS 0 ASEC MIMOSA | 17/05/2023

Yanga mwaka huu wana zari sana yani wamenifanya nikae ndani muda huu wakati sio kawaida yangu
Hawa wachezaji wakigeni wameleta challenge kias Fulani kwenye sokaletu ukudaukuda wa wachezaji kujisikia umepungua maana watu wamekuja kupiga kaz
 
USM ALGER wanashambulia sana yani wanapiga mpira kuliko opponents wao.

Asec Mimosa sijui ndio kwasababu yupo ugenini maana amedhibitiwa kila idara japo naye ameonesha ugumu
 
Wewe unatumia muda gani kujuwa muelekeo wa mechi?

Mpaka sasa Asec hii first half ilibidi wawe wameshakufa 3 kwa 0
USM wameliandama lango la Asec kwa speed sana.

Lakini matokeo yanaweza kuja tofauti hilo linawezekana, unaweza ukawa unatawala mchezo unafanya mashambulizi lakini mwisho wa siku ukatoka na goli lako moja, halafu marudiano ukapigwa 3 au 2
 
Hawa USM Alger tukiweza kukomaa nao kwao basi hili kombe kwa Mkapa Yanga analibeba.

Mechi ninavyoiona Asec hawachomoki wameshaingizwa kwenye mfumo wa Waarabu.
Sasa itakuwaje kwa wale jamaa wengine? Maana walishatangulia kwenda Asec. Kila wanapotangulia wao pana haribika.
Walitangulia Pyramids, ikawa kinyume, wakaemda na mbabe wa Pyramds wakaishia kupondwa.
Kabla ya matokeo ya leo walikua mguu Pyramids, mguu Asec, baada ya matokeo wamehamia Asec.
Wakija kustuka watakuta timu yao imewaongeza mkataba wa miaka miwili Josh Onyango na John Bocco .
 
Sasa itakuwaje kwa wale jamaa wengine? Maana walishatangulia kwenda Asec. Kila wanapotangulia wao pana haribika.
Walitangulia Pyramids, ikawa kinyume, wakaemda na mbabe wa Pyramds wakaishia kupondwa.
Kabla ya matokeo ya leo walikua mguu Pyramuds, mguu Asec, baada ya matokeo wamehamia Asec.
Wakija kustuka watakuta timu yao imewaongeza mkataba wa miaka miwili Josh Onyango na John Bocco .
Mnatuanza wenyewe
 
Hawa USM Alger tukiweza kukomaa nao kwao basi hili kombe kwa Mkapa Yanga analibeba.

Mechi ninavyoiona Asec hawachomoki wameshaingizwa kwenye mfumo wa Waarabu.
Sema jamaa wako Vizuri wanapiga pila biriani hatari

Hawa tukitaka tubebe ndoo wasishinde gori la mwanzoni iwe NYUMBANI au ugenini yaan wasianze kytufunga

Mana mpk now ASEC kashapagawa labda kipindi cha pili wabadilike
USM wanapiga pila kama RAJA alivyowafanyia SIMBA kwao
wanalinda gori vizuri na wakipata mpila moto wanaenda kusaka bao kwa speed ua 4g yaan hatari
ASEC wamepoteana
 
USM wameliandama lango la Asec kwa speed sana.

Lakini matokeo yanaweza kuja tofauti hilo linawezekana, unaweza ukawa unatawala mchezo unafanya mashambulizi lakini mwisho wa siku ukatoka na goli lako moja, halafu marudiano ukapigwa 3 au 2
Yeyote yule na aje tu sisi tunawasubili fainali.

Ila fainali ya Nyumbani na ugenini ni mfumo wa Kijima, Fainali inapaswa kuwa mechi moja tu neutral ground.
 
Yeyote yule na aje tu sisi tunawasubili fainali.

Ila fainali ya Nyumbani na ugenini ni mfumo wa Kijima, Fainali inapaswa kuwa mechi moja tu neutral ground.
Na sisi yeyote atayekuja utaratibu wetu ni ule ule, tutamshangilia tu
 
Back
Top Bottom