Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe mzalendoTunaangalia nani atakua mshindi wa pili.
Usijichoshe mimi siipendi Yanga hilo unatakiwa kuishi naloKukaa kimya kunasaidia kuliko kuonesha hisia zilizojaa chuki kwa kila hatua anayopiga Yanga..
Na umesahau Jana tu ulikuwa ukiwasifia Marumo ni timu Bora na Yanga anaweza kula 3-0 hapo Kwa madiba, Leo unawakataa na kusema Yanga anazali la kupangwa na vibonde?
Marumo kampiga huyo unayemsifia USM Alger, kamtoa Pyramids na leo unawaita wachovu?
Hapo sawaUsijichoshe mimi siipendi Yanga hilo unatakiwa kuishi nalo
Siipendi ila siwezi onesha chuki kwenye jambo lililo wazi.., kutokupenda kitu haimaanishi unakichukiaKwa hiyo siku zote hilo ulikuwa hulijui?
We unaipenda Simba?
Nijibu bila unafiki
[emoji38][emoji38][emoji38]Tunaangalia nani atakua mshindi wa pili.
Wapigweeee siwapendi Madrid mazafantaUEFA
Possesion 79% kwa 21
Ebu kwanza
Hawa ni Madrid au Marumo?