FT: CAFCC: USM ALGER 2 VS 0 ASEC MIMOSA | 17/05/2023

FT: CAFCC: USM ALGER 2 VS 0 ASEC MIMOSA | 17/05/2023

Hii mechi ya UEFA Grealish amezingua mara nyingi
 
34'

USM ALGER wanapata kona
 
Aisee kuna miwa umepigwa hapa na kijana wa Madrid
 
36'

Mchezaji wa USM ALGER anapiga shuti la mbali lakini linaenda nje ya lango
 
UEFA Updates

36

Goooooooooooal Da Silva

Man City wanaongeza bao la pili
 
Hawa USM Alger tukiweza kukomaa nao kwao basi hili kombe kwa Mkapa Yanga analibeba.

Mechi ninavyoiona Asec hawachomoki wameshaingizwa kwenye mfumo wa Waarabu.
Yanga wanaanzia kwa Mkapa.
 
Hawa USM Alger tukiweza kukomaa nao kwao basi hili kombe kwa Mkapa Yanga analibeba.

Mechi ninavyoiona Asec hawachomoki wameshaingizwa kwenye mfumo wa Waarabu.
Mechi itanzia kwa Mkapa kwao ni marudiano.
 
Nipo na Asec .
Asec hawatoki hapo, Nabi na wachezaji waiangalie kwa makini hii mechi tunaanzia ugenini na Waarabu tunamalizia kwa Mkapa, issue ni kuweza kuwadhibiti kwao kwa Mkapa lazima wage kombe likiwa uwanjani.
 
Hawa USM Alger tukiweza kukomaa nao kwao basi hili kombe kwa Mkapa Yanga analibeba.

Mechi ninavyoiona Asec hawachomoki wameshaingizwa kwenye mfumo wa Waarabu.
Umejuaje mnakutana na USM na sio Asec?
 
Back
Top Bottom