FT: CAFCC: USM ALGER 2 VS 0 ASEC MIMOSA | 17/05/2023

FT: CAFCC: USM ALGER 2 VS 0 ASEC MIMOSA | 17/05/2023

Hizi taarifa mmezipata wapi?
Tokea draw inapangwa ya robo fainali ilianishwa fixtures za mechi zote hadi fainali. Yanga alikuwa kwenye semi final 1 hivyo fainali itakuwa semi final 1 vs semi final 2
IMG_20230517_225837.jpg
 
Sema jamaa wako Vizuri wanapiga pila biriani hatari

Hawa tukitaka tubebe ndoo wasishinde gori la mwanzoni iwe NYUMBANI au ugenini yaan wasianze kytufunga

Mana mpk now ASEC kashapagawa labda kipindi cha pili wabadilike
USM wanapiga pila kama RAJA alivyowafanyia SIMBA kwao
wanalinda gori vizuri na wakipata mpila moto wanaenda kusaka bao kwa speed ua 4g yaan hatari
ASEC wamepoteana
Nabi hatabiriki, unaweza ukawaonea huruma hao Waarabu.

Matumaini niliyonayo licha ya kuwa tuna kocha mzuri lakini tuna wachezaji quality, hatuwategemei tena kina Ditram Nchimbi, hata umlete Pep Guadiola ni kazi bure.
 
USM ALGER wanashambulia sana yani wanapiga mpira kuliko opponents wao.

Asec Mimosa sijui ndio kwasababu yupo ugenini maana amedhibitiwa kila idara japo naye ameonesha ugumu
Yaan kinachowasaidia ni kuwa kuna wachezaji wazoefu aisee sio mchezo
Mganga wa Waarabu Nyoko
 
Nabi hatabiriki, unaweza ukawaonea huruma hao Waarabu.

Matumaini niliyonayo licha ya kuwa tuna kocha mzuri lakini tuna wachezaji quality, hatuwategemei tena kina Ditram Nchimbi, hata umlete Pep Guadiola ni kazi bure.
Hizi timu ukiangalia ni tofauti kabisa na mlizokutana nazo

Tegemea mpira mgumu sana
 
Yaan kinachowasaidia ni kuwa kuna wachezaji wazoefu aisee sio mchezo
Mganga wa Waarabu Nyoko
Uzuri wa football ukikutana na timu inajuwa na inacheza kwa speed unaadopt mfumo.

Angalia mechi ya Yanga na Al Ahaly Cairo tulikuwa na timu ya kawaida kina Canavaro lakini lilipigwa ball tukatolewa kwa penalties.
 
Uzuri wa football ukikutana na timu inajuwa na inacheza kwa speed unaadopt mfum.

Angalia mechi ya Yanga na Al Ahaly Cairo tulikuwa na timu ya kawaida kina Canavaro lakini lilipigwa ball tukatolewa kwa penalties.
Mkafa kiume
 
48'

USM ALGER almanusra wafunhwe bao kwa uzembe hapa baada ya golikipa kutokea na kupiga mpira ambao ulienda kumgomda mchezaji wa Asec na kurudi golini lakini bahati nzuri umeenda nje ya lango
 
Hizi timu ukiangalia ni tofauti kabisa na mlizokutana nazo

Tegemea mpira mgumu sana
Nakubari MANENO yako
Kuna wakati lazima ukubari ukweri
Tukikutana na USM tuna kibarua kigumu
7bu katika mashindano yote tangu tulipoanza sijaona timu ambayo yanga inekutana nayo kwanza ambayo inachezaa kitimu morali ya juu na ushirikiano wa kuelewana vizuri USM wanacheza vizuri sana wanelewana hii SILAHA kubwa sana ndio mana wanashambulia kwa speed na hawapotezi mipila kizembe

MAYELE kwenye mechi mbili za nusu ndio kaonesh anagalau kidogo kucheza kitimu
Kama tukikutana na hawa USM
Halafu alete habari zake za kichoyo kutaka kushinda yeye
Atapokonywa mpila kama mtoto kama wanavyofanyiwa wasahambuliajo wa ASEC hapa
Yaan mabeki wa USM wanapiga chenga mpk golini kwao dah ! hawa jamaa wanawachukuliaje ASEC yaan
 
Huu mpira unaopigwa hapa ni hatari
 
Back
Top Bottom