Kabisa yani hawa majamaa wana Ego sanaMi huwa sielewi hii CAF ipo Kwa ajili ya kuadhibu weusi kusini mwa Jangwa la Sahara au ni Afrika nzima? Tangu Mechi imeanza Hadi inaisha vitochi vya rangi zote mara nyekundu, mara kijani?
Wana kazi nyingi.
Bado hao waarabu wanaweza kupata droo Kwa mkapa (japo ni ngumu Sana) na wakafa kwao...Waarabu wakija huku bongo wanatafuta droo ya kila hali kujiangusha sana kuumia ovyo kipa kulala .. mradi muda uende wapate droo so yanga ana kazi kubwa sana kwa waarabu kuwatoa.
Wewe kaa huko huko kwa warabuTuweke matumaini kwa Nabi
Kama hivyo basi Yanga inastahili mechi zao zote msimu huu kasoro dhidi ya Madundukaz kuwa live.Wameona mpira wa USM waliopiga ushindi wao una worth kukaa live kwa masaa mengi
Neno KoloWizard lina uhusiano na sababu chunguza kwa makini.Kwasababu ilikuchapa?
Hapana msituongezee majina ambayo huko nyuma hatukukubalianaNeno KoloWizard lina uhusiano na sababu chunguza kwa makini.