GUSA ACHIA BAHASHA GOLI
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,110
- 7,349
Mashabiki wa kolozidad mnafanya nini kwenye huu uzi wa CAF champions league 😂
Tumekuja kumsindikiza marehemu mwenye kiburi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mashabiki wa kolozidad mnafanya nini kwenye huu uzi wa CAF champions league 😂
Update matokeo kwenye uziNimemaindi kisenge
nasi tunaenda mkanda kwake mizani ina balansiHampiti nyie mapaka..nipo pale nimekaa..nyie tegemeeni vya kunyonga yani mnamshabikia leo Alhilal alie washenyenta hahaaa
Ni utani wa jadi huo, hata mkicheza na Simba Queens kuna watakaosema mnapigwa.Mwanzoni mlisema Mazembe atamtandika Yanga saivi mnageuza maneno kuwa Mazembe imejifia. Mashabiki wa Simba mna tabu ya kuhama hama timu.
Labda awaachie tuunasi tunaenda mkanda kwake mizani ina balansi
rudia kuangaliaView attachment 3193687
Tumekuja kumsindikiza marehemu mwenye kiburi
Tupe msimamo wa kundi lako hao bravo naenda kumchapa au nachkua point moja nakuacha mtaani na makundi yakobravo anamsubiri nyau ajipigie huko
Bado nyie ni marehemu mechi 4 mna point 4rudia kuangalia
Bravo atampiga nyau halafu atamalizia na kinywaji kiitwacho cha mwarabu mchovu , "CS Sfaxien"bravo anamsubiri nyau ajipigie huko
Na hizo hizo tuki waki ziliifanya ikafuzu na ile timu ya kutoka Algeria Belouizdad mliyoipa mategemeo ikabaki. Ni kitu ambacho kinaweza kikajirudia msimu huu tenaTunaomba update za tuki ,waki maana kuna timu inasubiri wenzao wacheze waanze kupiga hesabu zao[emoji1787][emoji1787]
Kwa hii droo vita inazidi kuwa kali.Tunaomba update za tuki ,waki maana kuna timu inasubiri wenzao wacheze waanze kupiga hesabu zao🤣🤣
Hii inafaida kwa vyura?
1-1Kama nilivo waambia awali