FT: CAFCL - Al Hilal Vs MC Algier | (1-1)

FT: CAFCL - Al Hilal Vs MC Algier | (1-1)

Mashabiki wa kolozidad mnafanya nini kwenye huu uzi wa CAF champions league 😂
1000218777.jpg

Tumekuja kumsindikiza marehemu mwenye kiburi
 
Mwanzoni mlisema Mazembe atamtandika Yanga saivi mnageuza maneno kuwa Mazembe imejifia. Mashabiki wa Simba mna tabu ya kuhama hama timu.
Ni utani wa jadi huo, hata mkicheza na Simba Queens kuna watakaosema mnapigwa.

Halafu mashabiki watatu uliozungumza nao ndo unahitimisha kwa kila shabiki.
 
Tunaomba update za tuki ,waki maana kuna timu inasubiri wenzao wacheze waanze kupiga hesabu zao[emoji1787][emoji1787]
Na hizo hizo tuki waki ziliifanya ikafuzu na ile timu ya kutoka Algeria Belouizdad mliyoipa mategemeo ikabaki. Ni kitu ambacho kinaweza kikajirudia msimu huu tena
 
Back
Top Bottom