ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Ishakuwa sareAl Hilal anatakiwa ashinde ajitenge kabisa. Sisi tutampiga hapa MC Alger, then ataenda kudraw na Mazembe. Halafu sisi tutadraw na Al Hilal. Tutakua na point 8 nyuma ya Al Hilal
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ishakuwa sareAl Hilal anatakiwa ashinde ajitenge kabisa. Sisi tutampiga hapa MC Alger, then ataenda kudraw na Mazembe. Halafu sisi tutadraw na Al Hilal. Tutakua na point 8 nyuma ya Al Hilal
Simba anakuwa na advantage ya game moja nyumbani ata sare kwake ni tiketi huyu bravos tayari ana negative 3 kwenye goal difference na hakuna uhakika kama ata win game zake mbiliTimu zina badilika hasa raundi ya pili kila mmoja anakuwa kaisha mjua mwenzake, Bravo aliyeisumbua Simba mpaka kuomba mpira uishe ni nani angetegemea kama ingekula mvua ya magoli?
Hapo Yanga ana hali ngumuSafari ya Yanga imeishia hapa, Mc Alger alichobakiza ni kushinda mechi yoyote kati ya mbili
View attachment 3193689
Mkikabana point hawaangalii magoliSimba anakuwa na advantage ya game moja nyumbani ata sare kwake ni tiketi huyu bravos tayari ana negative 3 kwenye goal difference na hakuna uhakika kama ata win game zake mbili
Hahaha.Binafsi napenda kifo cha uto kinavyocheleweshwa.
Ndio shuleni kwenu mlivyofundishwa hesabu? Akipoteza mechi huku Yanga ikishinda zote hawezi kufuzu kwasababu yeye akishinda mechi moja pekee atakuwa na point 8 huku Yanga kama ikishindwa mechi zake zote mbili watakuwa na point 10. Uwe unaongea kwa mahesabu sio kuropoka tuSafari ya Yanga imeishia hapa, Mc Alger alichobakiza ni kushinda mechi yoyote kati ya mbili
View attachment 3193689
Hesabu za kifala hizi Mwiko nyumaAl Hilal anatakiwa ashinde ajitenge kabisa. Sisi tutampiga hapa MC Alger, then ataenda kudraw na Mazembe. Halafu sisi tutadraw na Al Hilal. Tutakua na point 8 nyuma ya Al Hilal
Mpaka head to head bado inamlinda simba maana bado game ya marudiano na bravos haijafanyika lakini pia Simba anaweza kuwin hizi game zote mbili badoMkikabana point hawaangalii magoli
Caf wanaangalia head to head na sio magoli ili ufuzu inabidi umfunge al hilal 3 bila kwake halafu mc algier ukimpiga goli zozote unafuzuBado hesabu zinakuwa wazi kwa kila timu kufuzu, Yanga si wana mechi nao hao Mc Alger? Kinachotakiwa Yanga ashinde vs Al Hilal kisha mechi ya mwisho amfunge Mc Alger kwa magoli matatu bila kuruhusu goli
Wa kuanza kujicheka ni ninyi wenyewe simba bado wana nafasi ninyi hapo mlipo mnategemea mazembe akawaokoe kule algeria, hivi kwa akili ya kawaida tu mnaona hilo linawezekana kweli ninyi kwa al hilal lazima mgongeke na mazembe nao kule algeria lazima wagongeke, kwahiyo ninyi hata mkimfunga muarabu hapa hamtoboi sana sana mtajifariji tu kuwa walau hamjaishia makundi mkiwa mnaburuza mkiamkuu nimecheka sana
simba ana toka na point zake 9
Goal difference haziangaliwi hizo, huku ni mwendo wa head to head tu. Anachotakiwa Bravo ni kumfunga Simba goli zaidi ya moja na asiruhusu goliSimba anakuwa na advantage ya game moja nyumbani ata sare kwake ni tiketi huyu bravos tayari ana negative 3 kwenye goal difference na hakuna uhakika kama ata win game zake mbili
Sema Yanga nae hana kazi kubwa kama akitaka kutoka. Yeye afungwe mechi moja tu au a droo. Hana option zaidi ya kuvuna point 6 wakati mwenzake yeye anachotaka ni point 4.Ndio shuleni kwenu mlivyofundishwa hesabu? Akipoteza mechi huku Yanga ikishinda zote hawezi kufuzu kwasababu yeye akishinda mechi moja pekee atakuwa na point 8 huku Yanga kama ikishindwa mechi zake zote mbili watakuwa na point 10. Uwe unaongea kwa mahesabu sio kuropoka tu
Ndiyo lakini bado Simba hajacheza na Bravos kwahiyo mpaka hiyo game.Kingine Simba chance ya kuwin hizi game mbili ni kama 70%Goal difference haziangaliwi hizo, huku ni mwendo wa head to head tu. Anachotakiwa Bravo ni kumfunga Simba goli zaidi ya moja na asiruhusu goli
Usipende kukatiza mada bila kujua kinachoongelewa. Uliona wapi mmoja ana point 8 mwingine ana point 10 halafu achukuliwe mwenye point 8 kisa head to head? Pitia comments za juu kabla ya kujibu ili ujue kinachoongelewaCaf wanaangalia head to head na sio magoli ili ufuzu inabidi umfunge al hilal 3 bila kwake halafu mc algier ukimpiga goli zozote unafuzu
Wewe binti achana na kuchambua Mpira kachambue maharage uweke jikoni.Safari ya Yanga imeishia hapa, Mc Alger alichobakiza ni kushinda mechi yoyote kati ya mbili, Sioni Yanga akishinda kwa Al Hilal
View attachment 3193689
Yaani mumfunge kbsaaa Al Hilal kwao, kwanza hamjawahi kushinda mbele ya Ibenge hata mara Moja, safari imeishia hapo.Usipende kukatiza mada bila kujua kinachoongelewa. Uliona wapi mmoja ana point 8 mwingine ana point 10 halafu achukuliwe mwenye point 8 kisa head to head? Pitia comments za juu kabla ya kujibu ili ujue kinachoongelewa
Ibenge hawezi kufungwa kwao nyie Uto, acheni ndoto za mchana.Hapa kidogo afadhali. Tubaki wawili kupambania hiyo nafasi ya pili
Sawa shekh YahayaYaani mumfunge kbsaaa Al Hilal kwao, kwanza hamjawahi kushinda mbele ya Ibenge hata mara Moja, safari imeishia hapo.
Al hilal anacheza na yanga kabla ya kukutana na mazembe.Bado nia ya kutaka kumaliza group stage kwa kuongoza kundi itawapa motisha Al Hilal kukaza mechi ya mwisho labda kama wamfunge Mazembe mechi ijayo. Hesabu bado ni ngumu kwa uto.
Binafsi napenda kifo cha uto kinavyocheleweshwa.