FT: CAFCL - Al Hilal Vs MC Algier | (1-1)

Al Hilal anatakiwa ashinde ajitenge kabisa. Sisi tutampiga hapa MC Alger, then ataenda kudraw na Mazembe. Halafu sisi tutadraw na Al Hilal. Tutakua na point 8 nyuma ya Al Hilal
Ishakuwa sare
 
Timu zina badilika hasa raundi ya pili kila mmoja anakuwa kaisha mjua mwenzake, Bravo aliyeisumbua Simba mpaka kuomba mpira uishe ni nani angetegemea kama ingekula mvua ya magoli?
Simba anakuwa na advantage ya game moja nyumbani ata sare kwake ni tiketi huyu bravos tayari ana negative 3 kwenye goal difference na hakuna uhakika kama ata win game zake mbili
 
Mkikabana point hawaangalii magoli
 
Safari ya Yanga imeishia hapa, Mc Alger alichobakiza ni kushinda mechi yoyote kati ya mbili

View attachment 3193689
Ndio shuleni kwenu mlivyofundishwa hesabu? Akipoteza mechi huku Yanga ikishinda zote hawezi kufuzu kwasababu yeye akishinda mechi moja pekee atakuwa na point 8 huku Yanga kama ikishindwa mechi zake zote mbili watakuwa na point 10. Uwe unaongea kwa mahesabu sio kuropoka tu
 
Al Hilal anatakiwa ashinde ajitenge kabisa. Sisi tutampiga hapa MC Alger, then ataenda kudraw na Mazembe. Halafu sisi tutadraw na Al Hilal. Tutakua na point 8 nyuma ya Al Hilal
Hesabu za kifala hizi Mwiko nyuma
 
Bado hesabu zinakuwa wazi kwa kila timu kufuzu, Yanga si wana mechi nao hao Mc Alger? Kinachotakiwa Yanga ashinde vs Al Hilal kisha mechi ya mwisho amfunge Mc Alger kwa magoli matatu bila kuruhusu goli
Caf wanaangalia head to head na sio magoli ili ufuzu inabidi umfunge al hilal 3 bila kwake halafu mc algier ukimpiga goli zozote unafuzu
 
mkuu nimecheka sana

simba ana toka na point zake 9
Wa kuanza kujicheka ni ninyi wenyewe simba bado wana nafasi ninyi hapo mlipo mnategemea mazembe akawaokoe kule algeria, hivi kwa akili ya kawaida tu mnaona hilo linawezekana kweli ninyi kwa al hilal lazima mgongeke na mazembe nao kule algeria lazima wagongeke, kwahiyo ninyi hata mkimfunga muarabu hapa hamtoboi sana sana mtajifariji tu kuwa walau hamjaishia makundi mkiwa mnaburuza mkia
 
Simba anakuwa na advantage ya game moja nyumbani ata sare kwake ni tiketi huyu bravos tayari ana negative 3 kwenye goal difference na hakuna uhakika kama ata win game zake mbili
Goal difference haziangaliwi hizo, huku ni mwendo wa head to head tu. Anachotakiwa Bravo ni kumfunga Simba goli zaidi ya moja na asiruhusu goli
 
Ndio shuleni kwenu mlivyofundishwa hesabu? Akipoteza mechi huku Yanga ikishinda zote hawezi kufuzu kwasababu yeye akishinda mechi moja pekee atakuwa na point 8 huku Yanga kama ikishindwa mechi zake zote mbili watakuwa na point 10. Uwe unaongea kwa mahesabu sio kuropoka tu
Sema Yanga nae hana kazi kubwa kama akitaka kutoka. Yeye afungwe mechi moja tu au a droo. Hana option zaidi ya kuvuna point 6 wakati mwenzake yeye anachotaka ni point 4.
 
Goal difference haziangaliwi hizo, huku ni mwendo wa head to head tu. Anachotakiwa Bravo ni kumfunga Simba goli zaidi ya moja na asiruhusu goli
Ndiyo lakini bado Simba hajacheza na Bravos kwahiyo mpaka hiyo game.Kingine Simba chance ya kuwin hizi game mbili ni kama 70%
 
Caf wanaangalia head to head na sio magoli ili ufuzu inabidi umfunge al hilal 3 bila kwake halafu mc algier ukimpiga goli zozote unafuzu
Usipende kukatiza mada bila kujua kinachoongelewa. Uliona wapi mmoja ana point 8 mwingine ana point 10 halafu achukuliwe mwenye point 8 kisa head to head? Pitia comments za juu kabla ya kujibu ili ujue kinachoongelewa
 
Yaani mumfunge kbsaaa Al Hilal kwao, kwanza hamjawahi kushinda mbele ya Ibenge hata mara Moja, safari imeishia hapo.
 
Bado nia ya kutaka kumaliza group stage kwa kuongoza kundi itawapa motisha Al Hilal kukaza mechi ya mwisho labda kama wamfunge Mazembe mechi ijayo. Hesabu bado ni ngumu kwa uto.

Binafsi napenda kifo cha uto kinavyocheleweshwa.
Al hilal anacheza na yanga kabla ya kukutana na mazembe.

Al hilal hawezi kukubali kumaliza nafasi ya pili ili akutane na al ahly au esperance atataka amalize wa kwanza apate unafuu
 
Back
Top Bottom