joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Mhhh ndio maana unakuwaga mbishi. Kama Yanga akishinda mechi mbili kwa idadi yoyote ya magoli anafuzu bila matatizo na kama akidroo na Al Hilal basi mechi yake ya MC Algier anatakiwa ashinde kwa tofauti ya magoli matatu ili afuzu. Ila kundi bado lipo wazi hata kwa Mazembe, huu mpira unadunda kwa yoyote.Caf wanaangalia head to head na sio magoli ili ufuzu inabidi umfunge al hilal 3 bila kwake halafu mc algier ukimpiga goli zozote unafuzu