Azam FCleo anacheza na APR FCya Rwanda kukata ticket ya 2nd stage ya preliminary round . mechi ya kwanza aggregate azam fc 1 -0 APR FC. penalty ya Blanco.
Azam wakabie juu Leo Apr watafunguka Azam wakikabia chini sio wazuri hope wataibuka na ushindi natamani sana kuona Azam Simba na yanga makundi itakuwa sherehe ya soka Kila weekend