FT: CAFCL | APR 2-0 AZAM FC | Preliminary Stage 2nd Leg| aggregate : 2-1 | šŸŸ Amahoro Stadium | 1900hrs | 24.08.2024

FT: CAFCL | APR 2-0 AZAM FC | Preliminary Stage 2nd Leg| aggregate : 2-1 | šŸŸ Amahoro Stadium | 1900hrs | 24.08.2024

Eti hao nao walikuwa wawakilishi wa nchi kimataifa,....Aibu
Wapiuzi sana, ndiyo maa kuna mahala nilisema Azam ni vile tu wana hela ya maana, nje ya hela walizo nazo ni timu ya Mashindano ya Kombe la Ramadhani tu
 
Msimu ulipokaribia niliandika humu kuwa Azam hii nafasi aiache kwanza maana hakuna kitu atafanya zikaja kelele za "umejuaje"kimsingi Azam akomae kwanza na shirikisho Simba na ujinga wake lakini hii hatua angevuka vizuri kabisa na nchi tungeendelea kupata heshima Sasa Azam kapigwa kama Ngoma na wafanyakazi hewa wake
We team iko serious inamuachia Kipre kirahisi wakati ingekomaa nae msimu mmoja tu wanaingia makundi hela ingeenda juu zaidi
 
Nilijua tu. Azam ndio tabia yao kukazwa round ya kwanza.
 
408862495.jpg
 
Kuna mahali nilishauri Azam wawe wanapokwa point, wasimalize nafasi ya 2
Kwa heshima ya nchi
Ni mara mia Simba mbovu kuliko Azam iliyo kwenye peak. Simba mbovu lakini ikafika hadi robo fainali. Azam ni matapeli wa mpira.
 
Simba angeedaje wakati alishindwa kwenda?
Nani alituzuia Simba kwenda klabu bingwa CAF?
Huenda Simba ni wabovu kuliko hao Azam.
 
Mechi hiyo ilinitia hasara sana mpaka nikapata mfadhaiko wa akili.
 
Back
Top Bottom