uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 10,392
- 15,948
Feitoto yuko Chooni analia sana.Azam katolewa kabla hata Simba haijacheza mechi hata moja.
Anajiona alivyo fala
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Feitoto yuko Chooni analia sana.Azam katolewa kabla hata Simba haijacheza mechi hata moja.
kazingatia maokotoFeitoto yuko Chooni analia sana.
Anajiona alivyo fala
Wakati ni kikundi cha kukanda 'NGANO'. Wale vijana hawapo serious plus management yao.Ukiwasikiliza wachambuzi wa Bongo wakiwa wanawasifia Azam unaweza ukadhani ni Bonge moja la timu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Anacheka huyo kaka 🤣😁😁Feitoto yuko Chooni analia sana.
Anajiona alivyo fala
Analia kupoteza muda Azam.Anacheka huyo kaka 🤣😁😁
Tamaa zimemponza yule dogoAnalia kupoteza muda Azam.
Alitakiwa kuwa Msimbazi
🤣🤣🤣Timu inayoshika nafasi ya 2 ligi kuu ya NBC ligi no.6 kwa ubora
Hakuna walichofanya zaidi ya kwenda kutufedhehesha ugenini azam wakirudi wakapige deki chamanzi wakande unga wiki wale mabeki wauze ukwaju kwenye Tamasha la kizimkazi
Mo anakuwaga uwanjani?Balesa ndiyo yuko uwanjani mkuu?
Ujuaji ukizidi unakuwa kilaza(check post#93)Mkuu unatumia tv chogo??
Hii ilikuwa nafasi ya Mnyama Simba sema huyu lambalamba aliikwapua tu.
Azam FCleo anacheza na APR FCya Rwanda kukata ticket ya 2nd stage ya preliminary round . mechi ya kwanza aggregate azam fc 1 -0 APR FC. penalty ya Blanco.
Mechi saa 1 kamili. #TUMEIPATA CODE
Eti hao nao walikuwa wawakilishi wa nchi kimataifa,....AibuAzam katolewa kabla Simba haijacheza mechi hata moja.
Kabisa mkuu, hii ilikuwa nafasi ya Mnyama Simba sio hao walamba Koni hata kina Scars Kalpana OKW BOBAN SUNZU wanakubali hili..TFF iwaadhibu Azam kwa kuwakamia Simba na kuchukua nafasi ambayo haikuwa na manufaa kwa Taifa. SImba ingefika angalau Makundi kuliko kutolewa na Rwanda kwenye hatua za awali.