daraja la kigamboni
JF-Expert Member
- Apr 28, 2016
- 3,127
- 3,062
Wachezaji wa azam wote wakihamia Simba wanachukua ubingwa wa NBC
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaikamia yanga ipi? Azam ni kikundi cha wahuni tu.Lamba lamba wanachojua ni kuikamia Yanga
Hawakutaka kusikia 😂TULIWAMBIA LAKINI
Balesa ndiyo yuko uwanjani mkuu?Bahresa hajui biashara ya Mpira
bado kuna wale wanaopiga bomu mwachwariHawakutaka kusikia 😂
Ndio MkuuMkuu unatumia tv chogo??
Anajua. Kutengeneza timu ya ushindani Africa si jambo jepesi.Bahresa hajui biashara ya Mpira