FT: CAFCL | APR 2-0 AZAM FC | Preliminary Stage 2nd Leg| aggregate : 2-1 | 🏟 Amahoro Stadium | 1900hrs | 24.08.2024

FT: CAFCL | APR 2-0 AZAM FC | Preliminary Stage 2nd Leg| aggregate : 2-1 | 🏟 Amahoro Stadium | 1900hrs | 24.08.2024

Shughuli inaelekea kuisha APR wamepata goli la pili. Hawa kama wasipo ingia round ya pili wapeleke wakakande ngano kwa ajili ya mikate hata wiki moja hivi.
 
Azam Fc ni timu ndogo yenye pesa hahahahaha. Huu ukubwa wa Azam sijawahi kuuona zaidi ya kupotoshwa na wachambuzi feki nchini
 
Yaani simuoni kiongozi wala mchezaji wa kuituliza timu, design kama Azam kishapotea.
 
Azam wanapanda hovyo hovyo, mpira wa pili kipa wa Azam anauclear nje ya box lake. Naliona goli jingine la kaunta hapa mda si mrefu.
 
Back
Top Bottom