Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Modereta piga ban hii mbwaa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji4]!!
Nimekuchanganya na Lodilofa na Carasco Putin walonitoa baruu kulee kwao😁😁!!Mimi nipo huku wewe sio kule Mimi Yanga lia lia
Azam Sports 3.Mechi inaonyeshwa channel Gani wakuu
Mxxxieeeeeeeeww!!Hivi simba si anacheza hii ligi ya mabingwa
Mbona sisi UTO tunacheza mapema hvi au sisi UTOPOLO ni timu ndogo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Unapambania nin huko lodge weekend hii njoo uraiani tupambanie bandariSikujua. Hapa lodge wamebadilisha channel ndio naona
Mzee hii ni weekend. Nina kikao na shemeji yakoUnapambania nin huko lodge weekend hii njoo uraiani tupambanie bandari
Kikao chawakaa uchi kama mnawanga[emoji3][emoji3]Mzee hii ni weekend. Nina kikao na shemeji yako
Ushaona sasa? Mwiko nyuma yaniWazee wa mwiko nyuma...hebu tuone....
Ushaona au bado?Wazee wa mwiko nyuma...hebu tuone....