FT: CAFCL: AZAM FC 1-0 APR | Preliminary Stage 1st Leg | Azam Complex | 18.08.2024

FT: CAFCL: AZAM FC 1-0 APR | Preliminary Stage 1st Leg | Azam Complex | 18.08.2024

Danielmwasi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2021
Posts
2,134
Reaction score
3,834
Matajiri wa Chamanzi wamepata code za mechi za KIMATAIFA, watakiwasha na mabingwa APR ya Rwanda kwenye CAFCL Preliminary Round.

Azam FC wanakikosi EXPENSIVE Africa Mashabiki na Kati.

#TUMEIPATA CODE

1723962253321.png

Kumbe huyu Jamaa anajua kiswahili me nikajua ni mkenya maana kwenye kuichambua yanga waga anashuka ngeli2
Alikuwa anatumia ngeli ili isiwe rahisi kujulikana maumivu aliyonayo kwa jinsi Yanga inavyofanya vizuri. Ni shabiki wa Simba aliyepanga kuwavuruga Yanga ila baada mpango kugoma na Simba yake bado inajitafuta, ndipo akatangaza kuhamia Azam rasmi.
 
nawatakia mchezo wenye mafanikio kwao, hv coastal walipigwa ngap maana niliacha kashapigwa 3 mtungi.
 
Azam wameachana na utaratibu wa Bure wameanza kuweka kiingilio tena kikubwa ngoja tuone kama watatoboa
 
Alikuwa anatumia ngeli ili isiwe rahisi kujulikana maumivu aliyonayo kwa jinsi Yanga inavyofanya vizuri. Ni shabiki wa Simba aliyepanga kuwavuruga Yanga ila baada mpango kugoma na Simba yake bado inajitafuta, ndipo akatangaza kuhamia Azam rasmi.
Wewe badala ya kuchambua mechi inachambua mleta mada. Uto vepe nyie
 
Back
Top Bottom