FT: CAFCL: AZAM FC 1-0 APR | Preliminary Stage 1st Leg | Azam Complex | 18.08.2024

FT: CAFCL: AZAM FC 1-0 APR | Preliminary Stage 1st Leg | Azam Complex | 18.08.2024

branco ana piga kichwa cross ya msindo wanakosa hapa target azam
 
Apr wanakosa goli hapa. kipa wa azam anaokoa.

Apr wame amka wapo moto sana
 
mechi ina foul za kutosha. yellow card ya kwanza inaenda kwa Apr
 
branco yupo man to man kapigwa kabali moja amazing sana. foul near 18 bound
 
Code mpaka sasa dakika ya 35 imeshindwa kufanya kazi, ngoja tuvute subira
 
Back
Top Bottom