FT: CAFCL: AZAM FC 1-0 APR | Preliminary Stage 1st Leg | Azam Complex | 18.08.2024

FT: CAFCL: AZAM FC 1-0 APR | Preliminary Stage 1st Leg | Azam Complex | 18.08.2024

Yaani hawa Azam wangepata goli lingine moja wangekuwa na uhakika kwa asilimia zaidi ya sabini kufuzu round ya pili.Ila wakiishia hivi na goli moja watakuwa na hali mbaya Kigali.
 
APR walipaki basi au hamkuona? Azam kajitahidi sana kuwafungua lakini wapi! Ila na kocha naye sijui ana shida kupanga kikosi! APR akicheza kwa kufunguka huko kigali AZAM anaweza kupata goli pia
 
Back
Top Bottom