Nzagambaaa
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 1,135
- 1,826
Azam wanakeraa Sanaa,naham washindee ila naona upuuzi tu wakifika kwenye box
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngapi hukoHakuna upambanajii kabisa Azam, Timu Bora ni Mbili tu nchi hii makolo na Yanga.
0-0 HTKila la heri kwao, naomba matokeo
Ngapi huko jamaniAzam wanakeraa Sanaa,naham washindee ila naona upuuzi tu wakifika kwenye box
0-0 HT walikomaa kungia huko lkn wanachofanya wanajua wenyewe timu mbovu sana hiiNgapi huko jamani
Hii ni simba iliyochangamkaAzam wanakeraa Sanaa,naham washindee ila naona upuuzi tu wakifika kwenye box
Shukrani sana0-0 HT
Kafunga timu ganiGoooooooo
Azam, panati kapiga McolumbiaKafunga timu gani