OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Imefutwa na VARPenaaaaaaaati
Mcheza kwao hutuzwa sema Al Alhy lazima ashinde hii game japo Kwa mbinde41'
Mchezaji wa Wydad anaadhibiwa kwa kadi ya njano baada ya kucheza rough dhidi ya mchezaji wa Al Ahly ambaye amefanya rough ya makusudi kama kisasi baada ya kufanyiwa rough halafu refa hajapuliza filimbi