ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Wakichomoa fainali itakuwa bado mbichi, ila Al Ahly kwa experience waliokuwa nayo kwenye michuano hii,kama wakishinda game hii 2 bila mechi watakuwa washaimaliza.Je Wydad wakichomoa ?
Huyo mwaka jana walimpiga vita mwisho wamekubali yaishe tu.Percy Tau wa Sundowns alikuwa wamoto kuliko alivyo hii Leo.Ukiona ngozi nyeusi panga pangua anaanza mbele ya waarabu basi huyo muheshimu.
Rudisha Kwanza jina lako [emoji23]
Duuh...mkuu punguza dozi, ndugu zetu Hawa buanaHalafu kuna vitoga wanasema eti wamefika fainali kwasababu ya ubora
Umefika fainali kwasababu hujakutana na Wydad, Al Ahly, Al Hilal, Mamelody, Raja.
Unamfunga River na ile Marumo timu ya uzaramuni halafu unakuja kuvimba?
Eti nimevaa medali. Medali bila ubingwa ni shanga tu.
Na bahati mbaya wataumia msimu mzima🤣🤣🤣🤣🤣Uzi umejaa mipasho jamani kuna watu bado wana maumivu sana😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣
Nilikuwa naangalia highlights za mechi ya under 17 kama sikosei DSTV walirusha baada ya halftimeSerikali yetu ijifunze yaani uwanja wa Al Alhy kama ulaya... Quality ya Hali ya juu sana
We mbona tulikuvumilia na ile picha yako "kwa mkapa hatoki mtu"
Utopolo na mpira wao wa kitoto kukamia na kukimbizana bila mipango hawana quality ya kucheza na hizi timu.Al Ahaly anaongoza lakini hana Amani.
Hawa Waarabu wanajuana Aiseee maana Hata Mashabiki waketulia hawa vurugu [emoji23][emoji23][emoji23]
Hii Yanga Wangekutana na Wydad hii au Al Ahly ingekuwa balaa